USAJILI MPYA 2016-2017

Chikoma Jafari akisalimiana  na mkurugenzi wa New generation sports cub baada ya kukamilisha usajili wake 2016-2017





PrayGod Nderingo akisaini mkataba wake kuitumikia New Generaton 2016-2017



Kiungo wa zamani wa Yanga Afrika na Mbea City Idrissa Rashid akisaini mkata wake kuitumikia New Generation Sports Club

Beki kisik wa zamani wa Mwadui fc  Yusuph Manya akikamilisha uhamisho wake wakuichezea New Generation Sports Club



Winga wa zamani wa Panone fc Charles Steven akimwaga wino kuicheze New Generation Sports Club huku akipeana mikono na Team Manager Laurent Kinabo na Mkurugenzi Salim  .A. Zowange  



Kiraka Wilbad Pacho akisaini mkataba wake kuitumikia timu yake mpya ya New Generation Sports Club










Jopo la Viongozi na Wachezaji pamoja na Waandishi wa Habari waliohudhuria kwenye hafla ya kusiani mikataba ya wachezaji wa New Generation Sports Club iliyofayika kwenye viwanja vya Uhuru Hostel Mjini Moshi.  





Mlinda mlango Godfrey Edward akijifunga mkataba mwaingine mpya na klabu yake ya New Generation Sports Club utakao muweka klabuni hapo mpaka 2017. Mlinda mlango huyo anayeitumikia kabu hiyo takribani mwaka wa nane hadi sasa. 

Beki wa kulia Peter Manjole akikamilisha usajili wake kuitumika New Generation Sports Club akitokea katika klabu ya maafande wa Polisi Mara









Chikma Jafar akisaini mkataba wake wakuitumikia New Generation Sports Club












Share on Google Plus

NEW GENERATION SPORTS CLUB

New generation Sports Club “The foxes” is a community based football sport based in Moshi – municipal, Karanga ward in the greater Kilimanjaro region of Tanzania. The history of the club dates back to the year 2007.

0 comments:

Post a Comment