Ntambi kuja na mbinu mpya katika mazoezi ya leo yatakayofanyika katika viwanja vya Moshi Techinical
Kocha Jumanne Ntambi wa New Generation Sports Club leo katika viwanja vya Moshi technical atakua nakibarua kingine cha kukinoa kikosi chake ambacho kinajiandaa na ligi daraja la tatu.
0 comments:
Post a Comment